February 2, 2020


Kikosi cha Yanga kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Ushindi huo umepatikana kupitia bao pekee lililofungwa na David Molinga mnamo dakika ya 51 likiwekwa kambani na David Molinga.

Yanga imelipiza kisasi dhidi ya Mtibwa ikiwa na kumbukumbu ya kutolewa kunako Mapinduzi CUP kwa mikwaju ya penati.


4 COMMENTS:

  1. Goli kama hilo kafunga kagere jana limekataliwa ila hao vyura mmekubali haya wabebeni

    ReplyDelete
  2. Nyie salehjembe hamuweki habari za mechi ya Yanga ikiwa inachezwa live...mnakuja kuposti habari wakati mpira umeisha....acheni Usimba Usimba

    ReplyDelete
  3. Ikiwa goli moja inasema imetwangwa Jee ingelikua goli mbili au tatu ungelisemaaje?

    ReplyDelete
  4. Wameshinda nendeni nyumbani mpeleke hela za kujikimu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic