March 13, 2020


USHINDI wa mabao 5-0 walioupata Manchester United mbele ya LASK kwenye mchezo wa Europa League unamfanya nyota wao mpya Odion Ighalo afikishe jumla ya mabao manne tangu atue kikosini hapo.
Ighalo alijiunga na United kwa mkopo akitokea Klabu ya Shanghai Shenhua ya nchini China kwa mkopo.
Kuliibuka maswali mengi kwa wadau wa soka kuuliza kwa nini United imeamua kumpa dili nyota huyo raia wa Nigeria mwenye umri wa miaka 30 jambo ambalo limeanza kujibiwa taratibu.
Kocha Mkuu Manchester United, Ole Gunnar Solksjaer amesema kuwa anafurahia kumuona Ighalo akiwa ndani ya Uwanja ana amini atafanya mambo mengi makubwa kwa ajili ya timu.

3 COMMENTS:

  1. Jamaa mzuri sana hata samata atasubiri sana japo kaja man kwa mkopo ila yuko sawa tayari ana magoli manne ndani ya mechi chache alizocheza na akiwa uwanjani unaona kazi yake,hongera sana ighalo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hivi nyinyi mitanzania mmerogwa na nani? yaani kila jambo lazma mupambanishe watu, sasa Samatta anahusika na lipi hapo?

      Delete
    2. I am Tanzanian by registration,life is a struggling and hustling,if you translate this you find that i am right for what i have written above there,why?because when you struggling it means you are competing with others,so who are the subject there,dont crame.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic