March 10, 2020

HARRY Kane, straika wa timu ya Tottenham iliyo chini ya Kocha Mkuu, Jose Mourinho yupo kwenye mpango wa kusepa ndani ya klabu hiyo.

Inaelezwa kuwa nyota huyo kwa sasa anafikiria kuibukia ndani ya Manchester United ili kupata changamoto mpya.

Kane kwa sasa ni majeruhi, anahitaji kucheza katika timu ambayo inaweza kuwania taji la Premier League na kushiriki kwenye michuano ya Ulaya kwa mwenendo wa timu yake anahisi hakuna uwezekano huo.

Chanzo cha habari kinaeleza kuwa Kane Kwa sasa anawaza kutua Manchester United ambayo inaonyesha kuwa inaweza kufanya usajili mkubwa ikiwa chini ya bosi wao Ed Woodward.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic