March 20, 2020



NYOTA wa muziki wa Soukous, Aurlus Mabele amefariki jana, jijini Paris Ufaransa, baada ya kusumbuliwa kwa maradhi ya  kiharusi (Stroke).

 Mabele  raia wa DR Congo alifikwa na mauti akiwa katika Hospitali ya Paris akiwa na miaka 67.

 Taarifa za kifo cha mkongwe huyo zilitolewa na  mwanamziki mwenzie ambaye rafiki yake Nyboma Mwandido ambaye aliliripoti katika Gazeti la Daily Nation.

 Marehemu alitamba na vibao, kibao kama Evelyne, Waka Waka, Liste Rouge, Femme Ivoirienne, Africa Mousso na nyingine kibao.



1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic