May 9, 2020


TUNATAMBUA umuhimu wa afya za wasomaji wetu pamoja na Watanzania wote kwa ujumla. Tunajua janga la Virusi vya Corona ni adui wa afya na maendeleo.

Ndio maana CHAMPIONI tumeendelea kubaki mitaani kuwanawisha wananchi kwa ujumla kwa kuwa TUNAAMINI tukipambana pamoja TUTASHINDA vita hii dhidi ya Covid 19.

CHAMPIONI LIKO MTAANI KILA 1. Jumatatu


2. Jumatano


3. Ijumaa


4. LEO Jumamosi lipo mtaani pia, muhimu kila mmoja akaendelea kuchukua tahadhari

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic