May 21, 2020



BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga, alisajiliwa na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo mwezi Desemba mwaka jana, lakini hadi sasa ameshaifungia timu hiyo mabao manne.

Alianza tarehe 26/01/2020 katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Taifa.

Tarehe 05/02/2020 akaifunga Lipuli FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Taifa.

Tarehe 11/02/2020 akafunga tena dhidi ya Mbeya City mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Taifa.

Tarehe 08/03/2020 aliwatungua Simba bao moja kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic