May 14, 2020

Kosi hili Karantini inawahusu kwa kuwa wapo nje ya nchi hivyo wakirudi Bongo siku 14 zitakuwa za uàngalizi kwao kujua iwapo wana maambukizi ya Virusi vya Corona ama la:-

Farouk Shikalo wa Yanga yupo Kenya

Nicholas Wadada wa Azam FC yupo Uganda

Bruce Kangwa wa Azam FC yupo Zimbabwe

Daniel Amoah wa Azam FC yupo Ghana.

Yakub Mohamed wa Azam FC yupo Ghana

Sharaf Shiboub wa Simba yupo Sudan

Never Tegere wa Azam FC yupo Zimbabwe.

Clatous Chama wa Simba yupo Zambia.

Meddie Kagere wa Simba yupo Rwanda.

Donald Ngoma wa Azam FC yupo Zimbabwe.
Francis Kahata yupo Kenya anakipiga Simba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic