CHAMA lijalo la Simba iwapo mambo yatajibu litakuwa namna hii:- Langoni atasimama Aishi Manula
Mabeki
Erasto Nyoni
Yakub Mohamed wa Azam FC
Shomari Kapombe
Mohamed Hussein
Viungo
Francis Kahata
Baraka Majogoro wa Polisi Tanzania
Clatous Chama
Washambuliaji
Yacouba Sogne wa Asante Kotoko
Justine Shonga wa Orlando Pirates
Meddie Kagere








Hapo watafeli kwa baraka majogiro hawezi kufiti namba ya mkude
ReplyDeleteUsisumbue akili yako kwa kuamini habari za hawa mabeberu
DeleteUnawapa cheo kikubwa sana,hawawezi kua mabeberu hawa,labda mitetea iliyoishiwa mayai ikiwa bado midogo
DeleteWahenga wanasema kinywa cha mjinga hutoa upumbavu.wahenga hao sio mimi.
ReplyDeleteWahenga hao wanasema kweli kwani jogoo kampita mtetea pointi 20.Lakini bado mtetea anakurupuka.
ReplyDeleteHa ha ha ha ha ha wahenga bwana yani hawakosei hata kidogo,mtetea anataka kupandwa tatizo mayai ameyalia chipsi sasa anahaha.
DeleteHaiwezekani
ReplyDeleteKuota uko
ReplyDelete