LEO, Julai 12, Simba itakuwa Uwanja wa Taifa majira ya saa 11:00 jioni kumenyana na Yanga kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali.
Hiki hapa ni kikosi rasmi cha Simba kinachotarajiwa kuanza leo kwenye mchezo huo huku Shomari Kapombe akipewa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza na mtupiaji wao Kagere akiwa benchi.
Hiki hapa kikosi chenyewe
1.Aishi Manula
2.Shomari Kapombe
3.Mohammed Hussein
4.Kennedy Juma
5.Pascal Wawa
6.Jonas Mkude
7.Luis Miquissone
8.Gerson Fraga
9.John Bocco
10. Clatous Chama
11. Francis Kahata
Wachezaji wa Akiba
1 Beno Kakolanya
2. Gadiel Michael
3. Erasto Nyoni
4. Mzamiru Yassin
5. Hassan Dilunga
6. Medie Kagere
7. Miraji Athumani
Jamani ajibu wap
ReplyDelete