July 12, 2020

UWANJA wa Taifa
Mchezo wa Kombe la Shirikisho 
FTSimba 4-1 Yanga

 Zinaongezwa 3
Dakika 90 zimekamilika
Dakika ya 88 Goal Mzamiru Yassin 
Dakika ya 87 Manula anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 84 Yanga wanapata kona inaokolewa na Manula Dakika ya 81 Mzamiru anaingia kuchukua nafasi ya Fraga
Dakika ya 80 Makapu anaokoa ndani ya 18
Dakika ya 78 Fraga anapewa huduma ya kwanza Dakika ya 77 Yanga wanalisakama lango la Simba Dakika ya 75 Sibomana anapaisha jaribio kali nje ya 18
Dakika ya 73 Bocco anatoka anaingia Kagere
Dakika ya 71 Fei Toto Goal Asisti Mkude
Dakika ya 68 Fei Toto anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Kahata Dakika ya 64 anatoka Morrison anaingia Sibomana
Dakika ya 63 Tshabalala anaonyeshwa kadi ya njano 
Dakika ya 62 Bocco anapewa huduma ya Kwanza baada ya kugongana na Nchimbi  Dakika ya 51 Goal Luis Dakika ya 49 Chama anafunga Gooool pasi ya Bocco
Dakika ya 48 Chama anapiga off target, Kapombe naye anamalizia kichwa anapaisha juu
Dakika ya 46 Molinga anaotea kwa mujibu wa mwamuzi 
Mshindi wa mchezo huu yatakwenda Sumbawanga kucheza na Namungo msimu uliopita ulichezwa Ilulu
Kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Taifa
Mapumziko 

Simba 1-0 Yanga Inaongezwa dakika moja
Dakika ya 45 Simba wanapata kona haizai matunda, Abdul anaonyeshwa kadi ya njano  Dakika ya 42 Kenned anamchezea faulo Morrison inapigwa faulo na Yanga Dakika ya 40 Manula anaanzisha kwa Kapombe 
Dakika ya 39 Kaseke anachezewa faulo na Kahata
Dakika ya 37 Mnata anaokoa hatari langoni mwake
Dakika ya 36 Lamine anaonyeshwa kadi njano kwa kumchezea rafu Luis
Dakika ya 35 Kahata anapeleka kwa Kapombe Dakika ya 32 Wawa anacheza faulo kwa Niyonzima 
Dakika ya 31 Bocco anapaisha ndani ya 18 Dakika ya 28 Morrison anampa pasi ngumu Niyonzima inatoka nje Dakika ya 27 Simba wanaanza mashambulizi

Dakika ya 26, Tshishimbi,  Fei, Jafary, Morrison 
Dakika ya 21 Gooool Fraga asisti Chama Dakika ya 19 Simba wanapata faulo, Kahata anaokoabshuti la Kahata Dakika ya 15 ushindani ni mkubwa na kila timu ilipandisha mashambulizi 
Dakika ya 14 Chama anapoteza moira ndani ya 18 Dakika ya 11 Kapombe anachezewa faulo na Fei Toto 
Dakika ya 10 Mkude kwa Fraga, Mkude, Kahata Dakika ya 7 Abdul anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 6 Mnata anaokoa shuti la Mkude
Dakika ya 03 Yanga wanapata kona ya Kwanza baada ya mpira kuokolewa na Kenned Juma

12 COMMENTS:

  1. Gongonje chali, yuwapi Morrison, yuwapi Haruna ziwapi kejeli zenu. Tukungojeeni mitaani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Niliwaambia kuanzia leo watatafuta kichwa cha habari kingine

      Delete
  2. Nadhani sasa yule muuwaji wa simba atatoroka nchi, na ndio mtajua hakuwa na mkataba wa miaka miwili na yanga

    ReplyDelete
    Replies
    1. Alivyotolewa hakwenda kwenye benchi alitoka moja kwa moja

      Delete
  3. Vituko vya Morrison vitanza upya. Walijipa tamaa ya hali ya juu Bila ya kujipima uwezo wao. Waliahidi makombe yote yajayo na wakarefusha limi zao. Mabingwa. Hawakuwa wakijuwa kuwa mchongoma kuupanda ngoma. Lile bao la Morrison lililokuwa linawazuzuwa usiku na mchana sasa limekoma hatutalisikia tena kwasababu mbio za sakafuni huishia ukingoni. Ufalme wa Mnyama

    ReplyDelete
  4. Walikuwa wanasema, tutawanyoosha. Masikini eti kwa mapenzi yao, walivokuwa wagonjwa badala ya kujipumzisha wakaomba warudi kumbe walifuatia hela zilizoahidiwa milioni 18

    ReplyDelete
  5. Na Azam wajikaze Kuchukuwa nafasi ya pili. Huyo Mbelgiji wa Yanga aliewahi kumkejeli Sven kwakumuekezea ni kocha wa vitimu vidogo kule kwao na leo ndie aliyempigisha magoti.

    ReplyDelete
    Replies
    1. true, simba ni team mkubwa, utopolo tangu lini wakajua kuchagua makocha, wao hubahatisha tu waalimu, wachezaji mpaka mgoli. Utopolo poleni mtasubiri sana kwa karne zaidi ya tano

      Delete
  6. Ila Yanga wamezidi kwa maneno. Ila Niyonzima, Morrison na Shishimbi walikuwa wapi?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic