Bado naamini ni maneno ya waandishi wetu na magazeti yao yameamua kufanya biashara. Kama ni kweli bodi ya Simba imeamua kumsajili Morison basi watakuwa hawajui vizuri mahitaji ya Simba hii ya moto ambayo haikamatiki kwenye ligi ya nyumbani inahitaji nini ili ifanye vizuri kimataifa.Huyu mtu atakwenda kuvuruga umoja wa wachezaji, benchi la ufundi, uongozi na wanachama ambao ndio silaha kubwa iliyoifanya Simba iakpata ubingwa kwa miaka mitatu mfululizo.
Ukiona Mfanyakazi haeshimu Mkataba wa kazi ujue ameona mapungufu kwenye Mkataba huo, kama Simba wameamua kumchukua Morisson basi aandaliwe Mkataba mgumu sana maana tayari ameonekana anajua kutumia madhaifu ya kimkataba kumuumiza MWAJIRI
Tunaheshimu mawazo ya kila mtu, mchezaji kufeli sehemu Moja si kipimo cha kwenda kufeli na kwingine. Anaweza akaja simba na akafanya vizuri Sana mpaka nyie mnaomwita kirusi mkageuka na kuanza kumwimba tena kama shujaa wenu. Hivyo ndivyo tukivyo massaging.
Kama ni kweli basi simba hawajielewi, wananunua kirusi hicho kitasambaratisha umoja wa timu
ReplyDeleteBado naamini ni maneno ya waandishi wetu na magazeti yao yameamua kufanya biashara. Kama ni kweli bodi ya Simba imeamua kumsajili Morison basi watakuwa hawajui vizuri mahitaji ya Simba hii ya moto ambayo haikamatiki kwenye ligi ya nyumbani inahitaji nini ili ifanye vizuri kimataifa.Huyu mtu atakwenda kuvuruga umoja wa wachezaji, benchi la ufundi, uongozi na wanachama ambao ndio silaha kubwa iliyoifanya Simba iakpata ubingwa kwa miaka mitatu mfululizo.
ReplyDeleteUkiona Mfanyakazi haeshimu Mkataba wa kazi ujue ameona mapungufu kwenye Mkataba huo, kama Simba wameamua kumchukua Morisson basi aandaliwe Mkataba mgumu sana maana tayari ameonekana anajua kutumia madhaifu ya kimkataba kumuumiza MWAJIRI
ReplyDeleteTunaheshimu mawazo ya kila mtu, mchezaji kufeli sehemu Moja si kipimo cha kwenda kufeli na kwingine. Anaweza akaja simba na akafanya vizuri Sana mpaka nyie mnaomwita kirusi mkageuka na kuanza kumwimba
ReplyDeletetena kama shujaa wenu. Hivyo ndivyo tukivyo massaging.