July 19, 2020


SIMBA imeibuka na ushindi wa mabao 5-1 mbele ya Alliance FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliokamilika Uwanja wa Taifa.

Meddie Kagere ametupia mabao mawili ambapo alifunga la Kwanza kwa penalti dakika 24 kwa penalti na dakika ya 44 huku Luis Miqussone akifunga dakika 63 na Deo Kanda dakika ya 66.

Said Ndemla kiungo wa Simba amefunga bao la 5 dakika ya 87 kwa upande wa Alliance, Martin Kigi alifunga bao dakika  38.

15 COMMENTS:

  1. The darkest hours are the hours of dawn when lions roars are mostly heard. Final days are the most decicive. Angry lions end the season with historic honours. Well done

    ReplyDelete
  2. Si ajabu na hii match umenunua

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama tulivyonunua mechi ya tarehe 12 ila hamsemi mlilipwa kiasi gani

      Delete
  3. Waseme na ile 4G tulinunua bei gani?Simba ikidhamiria kucheza mpira hakuna timu inayoweza kuzuia hapa Nchini. Huu ndio ukweli kama hurudhiki kanunue kamba.

    ReplyDelete
  4. Na ile ya goli 3 za Kagera wakizinunua bei gani. Hayo ndio mlobakiya nayo na mnaendelea nayo na matokeo ni vipigo zaidi

    ReplyDelete
  5. Ushahidi upo mnanunua wachezaji wa timu pizani,kama Morrison

    ReplyDelete
  6. Wapumbavu hao msibishane nao wamechanganyikiwa hao GONGOWAZI

    ReplyDelete
  7. Morrison kanunuliwa bei gani?Visingizio FC kwa visingizio ni mabingwa. Timu mbovu baada ya kusajiliwa mnatafuta visababu visivyo na mbele wala nyuma.

    ReplyDelete
  8. Utopolo sasa wamebadili jina wanaitwa Morisson FC. Kila siku ni huyo huyo. Kawapanda kichwani hawana ujanja.

    ReplyDelete
  9. Hamtafika popote hata nyie mnafahamu

    ReplyDelete
  10. Kufika popote ndio nini?Mwaka jana tuliwabeba mkaleta ngebe. Mngeonyesha shukurani tungewabeba tena kwenye FA.Mlipoleta nyodo tukachinjia baharini. Hakuna ngebe. Mavumbini tena .

    ReplyDelete
  11. Ili kujipima kabla ya kukutana na Mtibwa, Gongowazi ingeliiomba Simba mchezo wa kujipima nguvu na kwakuwa wa shida ya hela basi kiingilio chote wangepewa Gongo najuwa Simba isingepinga

    ReplyDelete
  12. Uliwatajia Simba naona unajitafutia kifo Wachezaji mpaka sasa wanaweweseka usiku kwa mujibu wa majirani wa hoteli walioweka kambi.Wanapiga kelele usiku,4G 4G 4G 4G.

    ReplyDelete
  13. Mimi Gongowazi wananifurahisha kitu kimoja. Hata Wanapofugwa goli nne na wakati burka kupata kigoli kimoja pale pale mke kwa mume husherehekea kwa zile ishara zao za China Roho na wao wepesi kusahau kuwa wameshachapwa nne na wanapotoka nje ndio Huanza kulalama kwa msemo wao " jamani sisi tunaumia Roho zetu tunaumia marefa wanatuua" poleni sana

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic