KLABU ya Yanga imemtambulisha Zlatico Krmpotick kuwa Kocha Mkuu wa Yanga akibeba mikoba ya Luc Eymael aliyekuwa akikinoa kikosi hicho.
Kocha huyo anatarajiwa kutua kesho Agosti 29 akiwa amepewa dili la miaka miwili kuinoa Klabu ya Yanga.
Kwa mujibu wa Injinia Hers Said amesema kuwa wamefikia makubaliano ya kumpa kandarasi kocha huyo baada ya kamati kujadili na kupitia majina ambayo walikuwa nayo.
Amewahi kuwa bingwa wa Klabu bingwa wa Afrika akiifundisha TP Mazembe pia alikuwa akiinoa Klabu ya Polokwane City.








HATA WAMLETE KLOPP NA MSAIDIZI WAKE AWE FLIK KWA YANGA HII KIPIGO KIKO PALE PALE
ReplyDeleteSawa madera fc tumekuelewa titafitie wewe kocha
DeleteAcha comment za kimama fuatilia mpira uwanjani sio kwa manara
DeleteHaya Mikia karibuni umbeya kwani ulitaka tusiwe na Kocha wa mpiga chabo?
ReplyDeleteMara utasikia keshafika, Mara utasikia atafika kesho na mwisho utasikia kaomba baada ya miezi sita amalize matatizo ya famili na mwisho kapigwa chini. Morrison anawanyima usingizi na umakini
ReplyDeleteMaskini wee utopolo wanatapatapa
ReplyDelete