August 26, 2020


1.  Luis Miqussone wa Msumbiji

2.Pascal Wawa wa Ivory Coast

3. John Bocco jezi namba 22, nahodha.

4. Mohamed Hussein nahodha msaidizi, jezi namba 15.

5Ally Salum,kipa namba 3,jezi namba moja.

6. Beno Kakolanya jezi namba 30 kipa namba mbili.

7. Ibrahim Ajibu, jezi namba 10, kiungo mshambuliaji.

8.David Kameta, jezi namba 27 ingizo jipya kutoka Lipuli yeye ni beki.

9.Ibrahim Ame kutoka Coastal Union jezi namba 5 yeye ni beki wa kati.

10. Charles Ilanfya kutoka KMC jezi namba 23 yeye ni mshambuliaji.

11. Gerson Fraga, jezi namba 4 raia wa Brazil yeye ni kiungo mkabaji.

12.Mzamiru Yassin jezi namba 19, kiungo mkabaji.

13.Miraj Athuman, jezi namba 21 kiungo mshambuliaji.

14.Kenedy Juma, jezi namba 26 yeye ni beki.

15. Gadiel Michael jezi namba 2 yeye ni beki wa kushoto.

17.Erasto Nyoni jezi namba 18 kiraka wa Simba.

18.Cyprian Kipenye jezi namba 45 yeye ni mshambuliaji.

19.Said Ndemla jezi namba 13, kiungo mshambuliaji.

20. Hassan Dilunga namba 24, kiungo mshambuliaji.

21. Jonas Mkude jezi namba 20 kiungo mkabaji.

22. Francis Kahata jezi namba 25, kiungo mshambuliaji. raia wa Kenya.

23.Meddie Kagere jezi namba 14 yeye ni mshambuliaji raia wa Rwanda.

24.Shomari Kapombe, jezi namba 12 yeye ni beki wa kulia.

25.Aishi Manula jezi namba 28, kipa namba moja.

26.Josiah Onyango jezi namba 16 ingizo jipya kutoka Gor Mahia yeye ni beki.

27.Chris Mugalu jezi namba 7 kutoka Lusaka Dynamo ya Zambia.

28.Larry Bwalya jezi namba 8 ingizo jipya kutoka Power Dynamo ya Zambia yeye ni kiungo mshambuliaji.

29. Bernard Morrison jezi namba 3, kutoka Yanga raia wa Ghana yeye ni kiungo mshambuliaji.

30. Clatous Chama jezi namba 17 kiungo mshambuliaji raia wa Zambia.

2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic