KIUNGO, nyota kutoka Angola, Carlos Stenio Fernandes Guimaraes do Carmo Carlinhos, leo Agosti 25 ametia timu Bongo kwa ajili ya kumalizana na mabosi wa Yanga.
Kiungo huyo mwenye uwezo wa kufunga na kutengeneza nafasi za mabao inaelezwa kuwa tayari alikubali kusaaini dili la miaka miwili hivyo leo amekuja kukamilisha kazi pale walipoishia.
Yanga tayari wameshaanza mazoezi ikiwa ni maandalizi ya kuelekea wiki ya Wananchi inayotarajiwa kuwa Agosti 30 ambayo malengo makubwa ni kuwatambulisha nyota wake wapya na wale ambao walikuwa na kikosi msimu uliopita.
Carlos Fernandes, Kiungo huyo alikuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Petro de Luanda ya nchini Angola alitupia jumla ya mabao tisa na kutoa pasi tano za mabao.







Karibu bongo, ila kavaaje nae huyu?
ReplyDeleteHahahahahahaha!!Nami nimelishangaa hilo bwela suti nikawa nausawiri huo mchoro wa skeleton
DeleteKaribu jembe, karibu YANGA timu ya wananchi.
ReplyDeleteMchezaji huyu hakuwa na timu mkataba wake uliisha Mei 2020
DeleteHakuna mchezaji hapo labda wamevutiwa na rangi
ReplyDeleteWameona Simba wana Fraga nao wameamua kumleta huyu. Utopolo bhana! Rangi haichezi mpira.
ReplyDeleteMbona mikia mnayumba sana tulieni dawa iwaingie maana mnaropoka mnasahau nyie ndio mlisajiri mirangirangi mwishowe mmeiacha. Aibu yenu hiyo
ReplyDeleteSijaona dawa hapo lawa rangi ya warembo
DeleteNingemshauri mwenye blog hii aanze kutoza hela za kupost,maana wengine wanapost akili zao zilivyo
ReplyDeleteMikia inayumba kwa makombe na ukamilifu wa timu Bila ya kuzungusha bakul la mzungu. Huyo akipigwa mkia mmoja kesha
ReplyDeleteSisi ndiyo tulianza kurete wabrazili mikia wakaiga
ReplyDeleteHabari ziliopo ni kuwa Yanga wanakataa kumrejesha kibali cha kazi cha Morrison ikiwa ni hivo nao wanyimwe kibali cha mchezaji wao mpya mpaka airejeshe hicho cha Morrison
ReplyDeleteHayo mapokezi, duh! Kuna shida mahali fulani
ReplyDeleteWewe kibali kinatolewa kwa amri ya mahakama Kama Kuna kesi , kwahiyo hiyo mahakama ya TFF ifanye kazi yake siyo Wizara,na hapo ndipo utafumbuliwa macho kwamba nchi hii wababaishaji ni wengi ELIMU na MAADILI hakuna
ReplyDeleteWewe Kama Ni Mwananchi huna haja ya kuongea au kujibizana na waliojaza Viwanja viwili achana wambie bado Sogne tu halafu humu mengine ni matoto yanabarehe mwenye blog zingatia umri under 31 asiingie hawana reference, Ndiyo maana hawazi kuongea bila tusi
ReplyDeleteYani mnafikiri kusajili majina ambayo hakuna hata mmoja anayecheza timu yake ya Taifa ndio itakua dawa ya kuchukua ubingwa mbele yA Simba acheni kujidanganya nyie ndio mnazimiaga zimiaga, nachojua mimi sasa hv mnapiga sana kelele lakini ikikaribia hiyo siku ya mechi kati ya simba na yanga tarehe 18 sijui mnajifichaga wapi, si atuongei sana tunajua nyie ni waimba taarabu yenu mipasho lakini siku si nyingi mtaanza kufukuzana hapo utopoloni
ReplyDeleteNdiyo Maana nikasema ku barehe kwani Ligi inachezwa tarehe 18 na kumaliza Happ bado Ni umri,Kama hatuja cheza tunatamba wewe in kuuma nini nenda Bunju uka Bebe kokoto nyumbani kwa Mo maana alisha Wataifisha na Mwenyekiti wenu mdai chapati Tena za mia
ReplyDelete