Namna Simba ilivyosepa na Ngao ya Jamii mara nne mfululizo:-
2017/18
Simba ilitwaa Ngao ya Jamii kwa kushinda mbele ya Yanga.
2018/19
Simba ilitwaa Ngao ya Jamii kwa ushindi mbele ya Mtibwa Sugar
2019/20
Simba ilishinda Ngao ya Jamii mbele ya Azam FC
2020/21
Simba ilishinda Ngao ya Jamii mbele ya Namungo FC.
This is Simba - another level
ReplyDeleteNext level imethibitishwa na kuendelea kuthibitishwa kila siku wengine wataendelea kutufuata nyuma tu. Yaani wao Ni mkia
ReplyDeleteWho is next 2021/2022 ?
ReplyDeletealready yanga die...mtibwa...Azam...namungo ...no one dought the ability of Simba sc ..Simba is next level in East Africa nor Tanzania