AZAM FC leo Agosti 16 wamezindua uzi wao mpya kwa ajili ya msimu wa 2020/21.
Mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka Tanzania,(TFF), Wilfred Kidao makao makuu ya Azam FC, Chamazi.
Nyeupe itakuwa ya nyumbani, bluu ya ugenini na ile rangi ya chungwa ni ya ziada ikitokea jezi zikafanana na wapinzani wake.
0 COMMENTS:
Post a Comment