CRISS Mugalu raia wa Congo anayekipiga ndani ya Klabu ya Power Dynamo ya Zambia inaelezwa kuwa amemalizana na Simba.
Mugalu anatajwa kumalizana na Simba kwa kumpa dili la miaka miwili ili aongeze nguvu Kwenye kikosi cha Simba ambacho kinanafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa.
Huenda akatambulishwa leo ndani ya Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck.
Mnyama forward ever, backward never, things quietly without empty noise
ReplyDeleteToa hiyo kauli mbiyu ya utopolo, simba ni Nguvu moja
ReplyDeleteMIKIA FC BANA KILA KICHAKA MKIONA MAVI YANAANZA KUCHUNGULIA
DeleteTarumbeta nyingi za nini?
ReplyDeleteMhindi mwingine huyo
ReplyDeleteMIKIA FC BANA MKIONA KICHAKA BASI MAVI YANAANZA KUCHUNGULIA
ReplyDeleteAlikuwa mzuri 2017 alipofunga magoli 17.Leo ni 2020 lakn watu wanasajili tu tena kwa mbwembwe.Mtayaona mbele.
ReplyDeleteSafi kabisa hao kandambili aka vyura aka GONGOWAZI wataongea mengi sana inawauma sana
ReplyDeleteHakuna mzuri mchezaji mmpaka acheze na alete matokeo Chantal
ReplyDelete