LEO Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa mechi tatu kukamilisha mzunguko wa kwanza namna baada ya jana kuchezwa mechi saba hii:-
KMC v Mbeya City, Uwanja wa Uhuru majira ya saa 8:00 mchana.
Kagera v JKT Tanzania, Uwanja wa Kaitaba majira ya saa 10:00 jioni
Azam FC V Polisi Tanzania, Uwanja wa Azam Complex majira ya saa 1:00 jioni.
0 COMMENTS:
Post a Comment