September 25, 2020


 LIGI Kuu Tanzania Bara leo kuendelea kurindima ikiwa ni raundi ya nne.

Leo Septemba 25 ratiba ipo namna hii:-

Kagera Sugar ilyo nafasi ya 15 kwenye msimamo na pointi moja  itamenyana na KMC iliyo nafasi ya kwanza na pointi zake tisa zote zikiwa zimecheza mechi tatu, Uwanja wa Kaitaba.

Mbeya City iliyo nafasi ya 18 ikiwa haijaambulia pointi  itamenyana na Namungo iliyo nafasi ya 13 na pointi zake tatu, Uwanja wa Sokoine.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic