MBEYA City msimu wa 2020/21 baada ya raundi tano mambo yao yanakwenda namna hii kwa namba:-
KMC 4-0 Mbeya City, Uwanja wa Uhuru.
Yanga 1-0 Mbeya City, Uwanja wa Mkapa.
Mbeya City 0-1 Azam FC, Uwanja wa Sokoine.
Mbeya City 0-1 Namungo FC, Uwanja wa Sokoine
Mbeya City 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Sokoine.
Nafasi ya 18 Kwenye msimamo pointi moja kibindoni
Safu yake ya ushambuliaji idadi ya mabao ya kufunga ni 0.
Safu yao ya ulinzi idadi ya mabao ya kufungwa ni 7.
Duh! Bonge la record, ingwa Ni record yakijinga
ReplyDelete