October 15, 2020




WASTANI wa miezi 10 kwa kila Kocha. Pamoja na uwingi wa makocha hao, ambao CV zao 'zimeshiba', Yanga imefanikiwa zaidi kwenye soka la ndani. Ila kimataifa mambo bado magumu.

Hebu tizama makocha waliopita Yanga katika kipindi cha miaka 20 ilikuwa namna hii:-


1. Raoul Shungu (DRC) 2000

2. Charles Boniface Mkwasa(Tz) 2001

3. Jack Chamangwana (Malawi) (rip) 2002-2004

4. Jean Polycarpe Bonganya (DRC) 2004

5. Syllersaid Mziray (Tanzania)(RIP) 2004

6. Kenny Mwaisabula (Tanzania) 2005

7. Jack Chamangwana (Malawi) (RIP) 2006

8. Milutin Sredojevic ‘Micho’ (Serbia) 2007

9. Razack Ssiwa (Kenya) 2007

10. Jack Chamangwana (Malawi) (RIP

) 2007

11. Dusan Kondic (Serbia) 2008-2010

12. Kostadin Papic (Serbia) 2010

13. Sam Timbe (Uganda) 2011

14. Kostadin Papic (Serbia) 2011

15. Tom Saintfiet (Ubelgiji) 2012

16. Ernie Brandts (Uholanzi ) 2012-2013

17. Hans Van Pluijm (Uholanzi) 2013-2014

18. Marcio Maximo ( Brazil ) 2014

19. Hans Van Pluijm (Uholanzi ) 2015-2016

20. George Lwandamina (Zambia) 2016-2018

21. Mwinyi Zahera (DR Congo) 2018-2019

22. Luc Eymael (Ubelgiji) 2019 

23. Zlatico Krmpotick (Yugoslavia) 2020

24...?

4 COMMENTS:

  1. Kwa takwimu ya hapo juu inaoneasha yanga inabadilisha kocha kila baada ya miezi sita kila tu kila mwaka.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Halafu tunataka mafanikio kwa mtindo huu.Unaoa leo wiki ijayo unaanza kumlalamikia mkeo kwa nini hana mimba

      Delete
  2. Weka na wa Simba kwa miaka 20

    ReplyDelete
  3. Mbona mmemsahau Fred Felix Minziro aliyepigwa goli 5-0 na Simba mwaka 2012?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic