Uzuri ni kwamba tayari ameshaanza kutengeneza kikosi chake kwanza na leo ana kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Gwambina FC, Mwanza.
Kete zake za Oktoba zipo namna hii:-
Gwambina v Yanga,Novemba 4.
Yanga v Simba, Novemba 7.
Yanga v Namungo, Novemba 22.
Azam FC v Yanga, Novemba 25.
Yanga v JKT Tanzania, Novemba 28.
Akapokea vipigo kwenye mechi za kuanzia trh 7 dhidi ya Simba SC'
ReplyDeleteHivi huwa unaota hata mchana?
DeleteAnashinda zote Hadi mwezi huu unaisha, Yanga atakuwa na point 37
ReplyDeleteNadhani Mwezi Nov ameanza vizuri kwa sare na Gwambina. Kwa mechi tano tutashinda tatu na sare mbili kwa maana tutapata Point 11.
ReplyDeleteMwanzo mzuri kwake all the bests to him
ReplyDeleteMwanzo mzuri kwake all the bests to him
ReplyDeleteHhahaaah All the best
ReplyDelete