YANGA leo wanacheza mchezo wa 10 Uwanja wa Mkapa ikiwa ni dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck.
Hiki hapa kikosi rasmi cha Yanga kitakachoanza leo Novemba 7, kipo namna hii:-
1. Metacha Mnata
2.Kibwana Shomari
3.Yassin Mustapha
4.Lamine Moro
5.Bakari Mwamnyeto
6.Mukoko Tonombe
7.Farid Musa
8.Feisal Salum
9.Michael Sarpong
10.Ditram Nchimbi
11.Tuisila Kisinda
Wachezaji wa akiba
12.Farouk Shikalo
13.Abdalah Shaibu
14.Adeyum Saleh
15.Zawadi Mauya
16.Deus Kaseke
17.Said Juma
18.Yacouba Sogne
0 COMMENTS:
Post a Comment