LEO Novemba Mosi Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa mechi mbili ambapo timu nne zitakuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu namna hii:-
Kagera Sugar ambayo imecheza mechi 8 na kujikusanyia pointi 5 itamenyana na Mtibwa Sugar ambayo imecheza mechi 8 na kujikusanyia pointi 11, Uwanja wa Kaitaba.
Ruvu Shooting ambayo imecheza mechi 8 na kujikusanyia pointi 12 itakutana na Coastal Union ambayo imecheza mechi 8 na kujikusanyia pointi 9.
0 COMMENTS:
Post a Comment