November 20, 2020

 


UONGOZI wa Klabu ya Yanga SC, leo Novemba 20 umemtangaza Hajji Mfikirwa kuwa Kaimu Katibu Mkuu  mpya ambaye anachukua nafasi ya wakili Simon Patrick ambaye amesimamishwa kazi.


Wakili Simon amesimamishwa kazi Novemba 18 kutokana na tuhuma ambazo zinamkabli hali iliyopelekea kuundwa kamati huru kwa ajili ya kuchukunguza suala hilo kabla ya kutolewa hukumu.


Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Frederick Mwakalebela amesema Kamati ya Utendaji inamuamini Hajji ataweza kuipeleka mbele klabu hiyo kutokana na uwezo mkubwa alio nao.


Aidha Mwakalebela ameliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuzifanyia kazi kesi zao walizo ziwasilisha ambazo ni ile ya Ramadhani Kabwili,  pamoja na mkataba wa Bernard Morrison kwa kuwa wanaelekea katika dirisha dogo la usajili.


Mwakalebela ameongeza kuwa kama suala la Morrison ambalo limefikishwa Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo ya FIFA (CAS) lisipofanyiwa kazi mpaka dirisha la usajili likafunguliwa huenda mkataba ukabadilishwa kwa kuwa muda utapatikana dirisha likiwa wazi.

8 COMMENTS:

  1. Nahisi ana matatizo kichwani, sio bure

    ReplyDelete
  2. Mr Mwakalebela jitahidi kutokutukela zaidi Kama hizo kesi zipo TFF si Zina taratibu?manake Mwanasheria wa club yupo deal na karatasi please siyo media propaganda zinabore na kuwashusha hadhi,Haji kaishi kwa maneno Sasa yanamtokea puani anaanza kusema hujuma Chungaaa mdomo Mwakalebela

    ReplyDelete
  3. Na kuhusu chama mlivyo kuwa mnaongea nae kumsajiri wakati anamkataba na timu yake mbona hamsemi hilo? Kweli hawa GONGOWAZI

    ReplyDelete
  4. Mwakalebela mbona hazungumzii kutimuliwa kwake tff. Toka aingie utopolo Nini jipya akichokifanya zaidi ya kuwapoteza utopolo SC.
    CA's hawakwenda,kabwili Ni mzushi aneshindwa kutoa ushahidi na michangani mtaendekea kubaki na ndiyo nafac yenu

    ReplyDelete
  5. Tatizo na ninyi mikia msidhani Kila anayekosoa lazima awe upande wenu , Mimi ni upande wake Ila inakera watu hata mambo ya Tahasisi kwa Tahasisi anaongea na Media Kama TFF haipo vile,ndiyo maana tunatakiwa kuheshimu hirachia,nimemtaja Kauzu haji ndiyo ameharibu watu wote ,Kocha yeye,Mwandishi yeye,Mkiti yeye ,Mtabiri yeye mpaka kusema yeyote atakayeingia msimu huu anakula 12 .Sasa HV Anastasia and na Mo kulalamika hujuma

    ReplyDelete
    Replies
    1. 👆 mbona unaandika maneno yasiyoeleweka. Jifunze kuandika vzr nenda shule

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic