December 23, 2020

6 COMMENTS:

  1. Mliandika wenyewe leo Aishi Manila hachezi, mbona yuko hewan Sasa???

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamani tusiwe watu wa kupinga na kulaumu tu, Mwalimu alisema Manula ana asilimia 50 mpka Jana. Huenda ame improve na kuwa tayari kwa game. Mbona ni mambo ya kawaida sana haya kwenye sports!

      Delete
  2. Team ya kwanza duniani kuleta Mambo ya kudanganya ili kuzuga upande mwengine hizo mbinu ni zakalne ya 13 uko,watu awachez na akili za wajinga mlidanganya game ya yanga chama achezi na akacheza Mara cjuhi Nani achezi huo ni uwoga mmegongwa kimoja muombe dar mshinde team hii mwaka huu ni maneno tu Amna Mali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kajifunze kiswahili fasaha ndo uje uandike tena hzo pumba zako

      Delete
  3. Kwann huyu Coach anapenda kudanganya?
    Hajui kama anawahaaribu hata mashabiki wake ki-psychology,
    Nakumbuka mchezo wa Simba nA Yanga aliwahikusema Chama hatacheza, Kisha akacheza, matokeo yake akaonekana ame Underperforming.
    Mpira ni mchezo wa wazi, mbinu za kizamani zimepitwa na wakati

    ReplyDelete
    Replies
    1. Alisema 50%, mbona Bocco kweli hajacheza hamsemi

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic