FT: Mwadui 0-5 Yanga
Uwanja wa Kambarage
Zinaongezwa dk 3
Dakika 90 Sarpong anafanya jaribio linaokolewa na Mbise
Dakika ya 80 Mukoko anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 79 Kisinda anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 69 Lamine Moro goaaaaaal
Dakika ya 60 Kaseke nje ndani Niyonzima
Dakika ya 62 Metacha anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 56 Kisinda goal
Goal Yacouba dk 48
Kipindi cha pili
Mapumziko
Mwadui 0-2 Yanga
Dakika 3 zimeongezwa
Dakika 3 zimeongezwa
Dakika ya 45 Mbise anaokoa hatari ya Tonombe Mukoko
Dakika ya 43 Kisinda anapiga kona inaanuliwa na Mwadui
Dakika ya 42 Lamine Moro anapeleka mashambulizi
Dakika ya 37 Kibwana Shomari anacheza faulo
Mwadui 0-2 Yanga
Dakika ya 37 Kibwana Shomari anacheza faulo
Mwadui 0-2 Yanga
Dakika ya 32 Lamine Moro anapewa huduma ya Kwanza
Dakika ya 31 Yacouba anapiga faulo
Dakika ya 30 Toto anachezewa faulo
Dakika ya 28 Tonombe anapiga kona
Dakika ya 21Kibwana alimwaga maji hayakuzaa matunda
Dakika ya 17 Toto anapiga kichwa ndani ya 18 kinamwenda nje
Dakika ya 13 Gooooooal Yacouba Songne
Dakika ya 13 Gooooooal Yacouba Songne
Dakika ya 12 Ismail Ally anaotea kwa Mnata
Dakika ya 9 Kaseke on target inaokolewa na kipa wa Mwadui Mbisse
UWANJA wa Kambarage
Ligi Kuu Bara
Mwadui 0-1 Yanga
Goal Deus Kaseke dk 6
Dakika ya 3 Yacouba of target
Dakika ya 2 Kaseke ameotea
Timu ya Wananchi gari kimeanza kupata moto
ReplyDeleteWapi wachungulia usajili Wananchi twaja
ReplyDeleteKipofu kaona mwezi
ReplyDeleteKipofu kaona mwezi kwani pointi 37 tumepewa na Tume ya Uchaguzi,au Bodi ya Ligi ila wapenzi wa mikia mjue pointi tatu za Namungo na Yanga Kichuya ,alicheza na angalizo mmetangaziwa jua na joto kali miezi minne na club yenu mnakula viroba Sana .Kwa kauli yako na uhalisia wa msimamo wa Ligi inawezekana hata wewe una miaka hamsini na hujaoa Kama aliyeoa Jana
ReplyDeleteNa ukitaka kujua
ReplyDeleteMlivyokwazikwa na matokeo muulize Baraka mpenja mpaka sauti imekufa
Kibonde mwadui kweli ndio gari limewaka au gari limemgonga mlevi?
ReplyDeleteWashuke tu kwa kweli sio kwa rundo la mabao mwaka huu,JKT kampiga sita wala hakujisifu kama sisi wa tano
ReplyDeleteJkt in pointi mbili tofauti na Mwadui ,Basi tupunguze goli mbili kwa Bocco cse alifunga mbili kwa Kibonde
ReplyDelete