Mkude unafunguka nini kutuwa yanga. Ikiwa ni kweli ni nia yako kutuwa yanga, basi nakupa nasaha ikiwa unakiri kuwa umekuwa daima unahusika na ukosefu wa nidham na mwisho wa siku unasamehewa, basi nakushauri uombe radhi tena na ujirakibishe kikwelikweli na isiwe baada siku tatu unayarejea yaleyale. Kumbuka wewe mpira ndio kila kitu kwako na umri unakuacha mkono. Ujuwe umri na wakati ni kama maji ya mto ambapo maji yapitayo huwezi kuyagusa mara mbili kwasababu maji yaliyopita hayarudi tena nyuma na ukayagusa tena na uhai ndivo ulivo na majuto yatakuwa mjukuu wakati umri umeshakuacha mkono na wakati huo hapana tena ataekuthamini kama ilivo sasa na nakwambia tena ujikumbushe umahiri na umaarufu wako umeupatia wapi. Nakutakia kila la heri
Inasikitisha na haifikiriki kwa nini ameshindwa kujirekebisha na attitude aliyo nayo.Amekuwa sawa na chungu/sufuria isiy osikia moto unaowaka wakati unapikia chakula kwa maana amekuwa sugu.Ukweli viongozi wamemvumilia sana Mkude na kuna kipindi cha kocha Omog alisugua sana benchi kwa sababu ya utovu wa nidhamu.Akaruhusiwa kwenda kujaribu bahati yake ktk timu ya Bid Vista ya SA lkn akashindwa majaribio na kurudi Simba.Umri unaenda na hajitambui kuwa mpira kwake ni kazi na ameajiriwa.Sitashangaa viongozi wakichukua maaumuzi magumu ili kuondoa kirusi kinachoweza kuambukiza wachezaji wenzake ndani ya Simba.

Simba Moto mdundo wengine wanajikongoja na macho kodoooo
ReplyDeleteMkude unafunguka nini kutuwa yanga. Ikiwa ni kweli ni nia yako kutuwa yanga, basi nakupa nasaha ikiwa unakiri kuwa umekuwa daima unahusika na ukosefu wa nidham na mwisho wa siku unasamehewa, basi nakushauri uombe radhi tena na ujirakibishe kikwelikweli na isiwe baada siku tatu unayarejea yaleyale. Kumbuka wewe mpira ndio kila kitu kwako na umri unakuacha mkono. Ujuwe umri na wakati ni kama maji ya mto ambapo maji yapitayo huwezi kuyagusa mara mbili kwasababu maji yaliyopita hayarudi tena nyuma na ukayagusa tena na uhai ndivo ulivo na majuto yatakuwa mjukuu wakati umri umeshakuacha mkono na wakati huo hapana tena ataekuthamini kama ilivo sasa na nakwambia tena ujikumbushe umahiri na umaarufu wako umeupatia wapi. Nakutakia kila la heri
ReplyDeleteInasikitisha na haifikiriki kwa nini ameshindwa kujirekebisha na attitude aliyo nayo.Amekuwa sawa na chungu/sufuria isiy osikia moto unaowaka wakati unapikia chakula kwa maana amekuwa sugu.Ukweli viongozi wamemvumilia sana Mkude na kuna kipindi cha kocha Omog alisugua sana benchi kwa sababu ya utovu wa nidhamu.Akaruhusiwa kwenda kujaribu bahati yake ktk timu ya Bid Vista ya SA lkn akashindwa majaribio na kurudi Simba.Umri unaenda na hajitambui kuwa mpira kwake ni kazi na ameajiriwa.Sitashangaa viongozi wakichukua maaumuzi magumu ili kuondoa kirusi kinachoweza kuambukiza wachezaji wenzake ndani ya Simba.
DeleteInasikitisha na haifikiriki kwa nini ameshindwa kujirekebisha na attitude aliyo nayo.Amekuwa sawa na chungu/sufuria isiy osikia moto unaowaka wakati unapikia chakula kwa maana amekuwa sugu.Ukweli viongozi wamemvumilia sana Mkude na kuna kipindi cha kocha Omog alisugua sana benchi kwa sababu ya utovu wa nidhamu.Akaruhusiwa kwenda kujaribu bahati yake ktk timu ya Bid Vista ya SA lkn akashindwa majaribio na kurudi Simba.Umri unaenda na hajitambui kuwa mpira kwake ni kazi na ameajiriwa.Sitashangaa viongozi wakichukua maaumuzi magumu ili kuondoa kirusi kinachoweza kuambukiza wachezaji wenzake ndani ya Simba.

DeleteNasaha ni ya kukata moyo na wa kale walisema kama hunijui mimi basi karibu mwengine
ReplyDelete