February 23, 2021

 


LEO Februari 23 kikosi cha Simba kitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi.

 Mchezo huo wa kundi A unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa majira ya saa 10:00 jioni.

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ambacho kinapewa nafasi ya kuweza kuanza mbele ya Al Ahly kusaka pointi tatu muhimu:-

Aishi Manula 

Shomari Kapombe 

Mohamed Hussein 

Pascal Wawa 

Joash Onyango 

Taddeo Lwanga 

Luis Miqussone 

Mzamiru Yassin 

Meddie Kagere 

Rarrry Bwalya

Clatous Chama

6 COMMENTS:

  1. We mwandishi ni mavi kabisa, unaweza Bwalya wakati alibaki CONGO

    ReplyDelete
  2. Replies
    1. Hiyo siyo utopolo Leo utawaona hao ndugu yako watakavyolia this is Simba brother

      Delete
    2. Kama ni AL AHALY sawa, maana hakuna timu inayoitwa hivyo inashiriki CAF Champions League 2021

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic