February 3, 2021


 UONGOZI wa Klabu ya Yanga umewashusha presha mashabiki wake kuhusu suala la kupigwa pini na FIFA kufanya usajili kwa muda wa misimu mitatu mfululizo.

Imeelezwa kuwa Yanga imefungiwa na FIFA kufanya usajili kwa kuwa haijalipa deni la mchezaji wao wa zamani Amiss Tambwe ambalo ni la mshahara wake pamoja na fedha za usajili.

Kwa mujibu wa Tambwe amesema kuwa amepewa taarifa na mwanasheria wake ambayo imeeleza kuwa Yanga wamezuiwa kufanya usajili kwa muda wa misimu mitatu.

"Nimepewa taarifa na mwanasheria wangu kwamba Yanga haitapaswa kusajili kwa muda wa miaka mitatu yaani kwenye dirisha dogo na dirisha kubwa la usajili hiyo ni taarifa ambayo nimepewa.

"Mimi sina tatizo na Yanga ila taarifa ninapewa na mwanasheria wangu na hilo ndilo ambalo ninalijua kwa sasa.

Kuhusu hilo Ofisa Uhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Anthonio Nugaz amesema:- “Deni la Tambwe Milioni 41 anazodai zilitalipwa ndani ya muda mfupi na wana Yanga wasiwe na hofu yoyote.

"Hiyo pesa inalipwa na usajili kwa Yanga utaendelea kama kawaida.Hiyo ni pesa kidogo kwa Yanga,tumepokea maamuzi ya FIFA na Sisi tunalipa wakati wowote na kila kitu kitakwenda sawa na tutaendelea kusajili wachezaji," .

Yanga imeweka kambi Kigamboni na imekamilisha usajili wa nyota watatu kwenye dirisha dogo ambao ni Fiston Abdulazack, Said Ntibanzokiza na Dickson Job.

26 COMMENTS:

  1. Tusidanganyane kwenye uhalisia, ilishindikana kwenye 5m za Bumbuli na leo tena 41m za Tambwe na hizo zotee zilikua na deadline ya kuzilipa lkn hakuna kilichofanyika, sasa haya marungu ya Taasisi za juu za mpira yanapozidi kidogo yanaleta shida kwenye weledi wa kutatua migogoro na vyombo vya mpira wa miguu. Tua wa kweli tuu kuna shida mahali fulani ndani ya uongozi wa hii klabu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yanga ni taasisi kubwa sio kama katimu ka mo na family rudi darasani ukuambulia kitu pole

      Delete
  2. Italipwa?? Kwan hii adhabu ya kutosajili itafutwa pale tu yanga wakimlipa tambwe?? Kwamba ht wakimlipa leo tambwe bac adhabu ya kutosajili itafutwa?? Hii adhabu ishaandikwa na ht yanga ikimlipa tambwe leo bado miaka mi3 ya kutosajili ipo palepaleeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama hujui au huna uhakika na unachoongea jitahidi kwanza kuuliza ndugu........kutolewa kwa adhabu hakuzuii yanga kulipa deni,muda wowote ndani ya wiki moja baada ya adhabu kutolewa deni likilipwa adhabu hai exist tena.....kama mlitarajia yanga hatutasajili kwa misimu mitatu basi poleni kwani yanga uwezo wa kulipa hilo deni upo.

      Delete
  3. FIFA inawahujumu Utopolo. Ni njama za Simba kupitia kwa Tambwe. FIFA wamepewa mchongo waifungie Utopolo kusajili ili Simba ishinde. Nilimsikia mlevi
    mmoja akiropoka.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Porojo za mlevi mmoja unatuletea huku? Wakati Simba inachukua ubingwa mara zote unazozijua, Yanga ilifungiwa kusajili?

      Delete
  4. Kama hizo pesa ni kidogo walishindwaje kulipa?? Kweli kuna shida kwenye uongozi

    ReplyDelete
  5. Bila shaka walipewa dead line ya kulipa wakashindwa ikapelekea adhabu, kwa hiyo hata wakilipa adhabu inaendelea

    ReplyDelete
  6. Nyie wote mlio comment juu ni mafyatu wa dunia nzima kufungiwa kafungiwa yanga povu la nini kusajili hatutasajili sisi yawauma nn nyie vbaraka wa mo. Pambanen na hari zenu 2achen yanga na mambo yetu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mnavyo kuwaga mnacomment masuala ya Simba mda huo mnakuaga mmeamia Simba au usituletee Ushoga

      Delete
    2. Jackson.acha ujinga bhan we unaona viongoz wapo sawa...???tulipewa ck 45 pesa iwe ishalipwa zimeisha na inaeleweka zikiisha izo ck ulizopewa kinachofuata ni adhabu lkn viongoz wamekaa kimya mpka rungu linakuja tatz lipo kwa viongoz wao wanajua gsm atalipa mwisho wa ck aibu kma hii leo ndo naamin kweli at Bumbuli.hajalipa ile mil 5 mw/kt na makam wake wanafanya kazi gan yanga...???tim inadhalilika wao kma watu walokabidhiwa amana na wanachama wanawajibikaje kuifanya yanga kua taasisi Bora na yenye heshma ap kuna tatz bro tuache unafiki bhan kama mil 41 ndogo leo ndo inakua ndogo...???ck zote mpka fifa wanatoa ck 45 iwe zishalipwa haikuonekana kua ndogo ikalipwa ije kuonekana leo baada y adhabu...???Nugaz.watake radh wana yanga kma unatetea ugali wako angalia y kuongea

      Delete
    3. Tena hujielewi yanga sio ya kukosa hela ndogo hivo angalia usije ukafirwa kushabikia mambo yasio kuhusu kuma wew

      Delete
  7. Kwani Mo ndio amekuwa FIFA? Mmeshindwa kulipa deni wenyewe, sasa unatulaumu vipi sisi, pambana fifa lofa wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa nyie mtaendelea kuwa mbwa wa mo miaka yote kumnyenyekea mtu mmoja

      Delete
  8. Wanajinadi wana hela na kuahidi mengi, Kumbe hawana hela ya kumlipa Tambwe ambayo ni haki yake. Hatari na ni aibu kubwa

    ReplyDelete
  9. Hilo la Tambwe ni la yanga kandambili na si la yanga brand kubwa chapa gsm mwenye akili na afahamu

    ReplyDelete
  10. Nyie mbwa wa simba hamjielewi kwani kinachowafanya mshabikie nini yanga ina kikosi kipana hata wangefunga miaka 5 tunauwezo wakuchukua ubingwa kwa miaka mitano mfululizo kikosi ni kipana hiki mbwa wakubwa nyie

    ReplyDelete
  11. Nguruwe fc tulizeni vikojoleo vyenu, hafungiwi mtu hapa wewe, hii taasisi kubwa siyo timu ya familia kama mapaka fc

    ReplyDelete
  12. Kazi IPO yanga wabishi kinoma yani shabiki Wa yanga hata ukimkuta demu Wa shabiki yeyote Wa yanga anabanguliwa wala hata usiende kusema ikiwezeka hata wewe bangua mana waabishi hawa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ujue dada'ko ni shabiki wa Yanga.....atakutimua hapo nyumbani kwake ukalale sokoni

      Delete
  13. Hawa jamaa Gongowazi wamejifunza matusi kuliko huo mpira wenyewe

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic