February 9, 2021



CEDRICK Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa licha ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba kupelekwa mbele wanaamini kwamba wakikutana ndani ya uwanja lazima washinde.

Awali ratiba ilikuwa inaeleza kuwa mchezo huo wa watani wa jadi ulitarajiwa kuchezwa Februari 20, Uwanja wa Mkapa ila kwa sasa utachezwa Mei 8.

Akizungumza na Spoti Xtra,Kaze alisema kuwa hawana mamlaka ya kuzungumzia kuhusu kubadilishwa kwa ratiba ya mchezo ila wanachojua wao ni kwamba lazima watakutana ndani ya uwanja.

“Kubadilishwa kwa ratiba hiyo kwetu sio tatizo, kwa kuwa mamlaka imesema iwe hivyo sisi tunajipanga kwa ajili ya mechi zetu zijazo ambapo kwa sasa tupo kwenye maandalizi ya mchezo dhidi ya Mbeya City.

“Kwa kuwa tutakutana nao Mei 8 hiyo basi tunajipanga kuona kwamba tukikutana nao uwanjani tunashinda. Kwetu tunatazama mechi zote ni ngumu na ushindani ni mkubwa hivyo hatuna mashaka lazima tufanye vizuri,” alisema.


Mchezo wa raundi ya kwanza walipokutana uwanjani, Yanga ikiwa mwenyeji ngoma ilikamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1, Uwanja wa Mkapa.

Kwa Yanga, Michael Sarpong alimtungua Aishi Manula na kwa Simba ni Joash Onyango alimtungua Metacha Mnata.

 

26 COMMENTS:

  1. Hapa ni uoga tu kwanini mechi ipelekwe mei,hapo ndipo ninyi mnaosoma maoni yangu msinielewe mlivyo na uelewa mdogo.Ukweli hapa tuna TFF ya Mr Karia ni Kama upele ulimpata mkunaji,kwake yeye maendeleo ya soka Tanzania kipimo ni Simba na wanalotaka lazima litimizwe ,kwani kwa faida ya ratiba Lile Bonanza la watani lilikuwa na umuhimu gani,angalia Sasa Yanga inakwenda Mbeya on 13th na 17feb inacheza Dar halafu on 20th tena Dar kwanini huo msongamano Ligi isingeanza wiki mbili zilizopita?.Inatia kinyaa mtu unaweza hata kupata pressure .Watu mmejikita TFF you yenu hata hamjali future ya Nchi ni Usimba tu umewatawala .hapa kikosi kipana kipo wapi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kilichochangia ratiba kubadilika ni ni mapinduzi, chan na mabingwa SIMBA na NAMUNGO, tofauti na hapo utaongea kishabiki zaidi kuliko uhalisia

      Delete
    2. Mechi ya Kwanza Kati ya Simba na Yanga ilisogezwa mbele na kipindi hicho Yanga walikuwa wamesajili wachezaji wengi na kulikuwa hakuna muunganiko wa timu ya UTOPOLO uliwahi kusikia Simba wamelalamika,mngecheza na Simba Sasa hiyo tarehe 15 mna uhakika kuwa mngeifunga Simba,timu yenu Kama ina uwezo wa kuifunga Simba hata mechi ingekuwa ya mwisho mtashinda,lakini tunachokiona Simba,KIDIMBWI FC wameshaanza kusema TFF Simba,mpaka Sasa ligi inaendelea Yanga kashabebwa mechi 4 lkn ushawahi kusikia Simba wamelalamika Hawa watu washajua hawawezi kuchukua Ubingwa Sasa wameanza sababu za nje ya uwanja sheeeeeenziiiii This is Simba

      Delete
    3. We unataka kipimo kiwe Yanga wakati miaka 5 mfululizo mnacheza CAF champions league mnaishia best looser, mnaenda shirikisho,wakati Simba ndani ya miaka mitatu wameingia hatua ya makundi Mara 2 ligi ya mabingwa na wamefika mpaka robo fainali acheni wivu ws kijinga msitafute huruma pambaneni uwanjani watu waone Mpira ni mchezo wa wazi,Leo hii Kocha anaacha kazi El merreikh anakuja Simba Hilo nalo TFF wamehusika sababu za nje ya uwanja ili kuidhoofisha Simba ionekane inabebwa na TFF hazina mashiko Simba Ina kikosi Bora kuliko timu yoyote Afrika mashariki na Kati ukiondoa Mazembe matahira nyinyi

      Delete
  2. Ni vigumu kutenganisha TFF na ushabiki wako kwa Paka FC!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tatizo ni stress mlizonazo ndio Mana mmesahau yote mnajiona Kama timu Fulani wema kweli kumbe katika timu zilizochangia kudidimiza soka la nchi hii ni Yanga kwa kufikiri wao ni timu ya Serikali, timu zote Tanzania ni sawa iwe Namungo,Ihefu,Gwambina zote sawa,kipindi Cha Jamal Malinzi mliweza mpaka kucheza na Ndanda mechi mbili za ligi katika Uwanja wa Taifa kwa kisingizio Cha kwamba eti mnataka kusherehekea Ubingwa mkiwa Dar es Salaam Leo mmesahau yote hayo teh teh teh teh kweli kushabikia Utopolo lazima ubongo wako uwe umetikisika kidogo

      Delete
  3. Kwann vipolo visiwe vinachezwa katikati ya wiki hata j4,5 kwani nilazma hadi mwz,,,kama kweli bac yanga inapumzka cku3 then mechi sasa kwann cmba apewe wiki nzima eti maandalz,,kucheza mechi nyingi ndiyo kuwapa fitness wachezaji,,,sasa tff inathani kutokucheza ligi timu ndo kuiandaa kimataifa,,,inakela na ina udhi,,,kama Ndo hvo bac hakuna haja tm ambazo hazchez kimataifa bac kuwa na mechi mfululzo kiac hcho,,,wacheze wk had wk,,,wenye vpolo vpgwe j4,5

    ReplyDelete
  4. Hapo hesabu yao wanajua pana mechi tutakwama hata sare,nashangaa Yanga wanakubali huu mtego,Mimi sikatai Simba kupumzika Kama ratiba haithiriki , issue kwanini wao wanapewa muda mrefu na wengine wanabanwa ,na media mnakaa kimya hata Hiyo ratiba ku change mmekaa kimya "Inachekesha Sana au na ninyi walewale .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ila nyinyi mnajua mechi zote mtashinda hii sio TFF ya Jamal Malinzi ya Yanga anaongoza ana post kwenye ukurasa wake akiwa Kama Rais wa TFF anaonyesha mapenzi ya wazi kwa Yanga,mchezaji wa Kagera sugar ana kadi tatu za njano,kamati inashindwa kusimamia Sheria ili Yanga awe bingwa alafu mnakuja eti mbona Simba anawekewa viporo,nyie hamjawahi kuwa na vipolo, toka ligi ya msimu huu imeanza mmeshabebwa mechi karibu tano nyingine ilibidi mfungwe kabisa dhidi ya Gwambina,mechi dhidi ya Kagera Sugar wamenyimwa penalti ya wazi kabisa. Kweli nimeamini washabiki wa hii timu wengi wao ni hamnazo

      Delete
  5. Hapa mpaka karia na timu yake wang'olewe

    ReplyDelete
  6. Kunya anye kuku, akinya bata aaah kaharisha, fanyeni vzr kimataifa nanyi tuone kama ratiba haitaahirisha.DRC tu juzi wameahirisha mechi ya AS Vita na TP Mazembe.Mnaushabiki nyie

    ReplyDelete
  7. Kweli kumbukumbu zinapotea, au ni kujitoa tu ufahamu?! Mtu anasema kbs: "Hapa mpaka Karia na timu yake wang'olewe"! Utawala uleee, pamoja na Simba kuonewa mno, hutukuwahi kusikia, "Mpaka ....na timu yake wang'olewe!

    ReplyDelete
  8. Tukusaidie sisi tusojua kuandika utawala wa Malinzi uliwekwa na Friends of Simba walisema Tenga hawezi kuruhusiwa kuacha mtu wake ,wakampiga chini Wambura kisa Adui yao,wakakubaliana kumpitisha Malinzi(Jamal Yanga) kwa kisingizio Cha Kum control Zingatia nafasi ya Kaka yake mkubwa na nafasi yake kwa mnyama ilikuwa kubwa(Dioniz) japo kuwa yeye Jamal Malinzi alikuwa Mwananchi.Kifupi ni kwamba Simba walijikita na wanaendelea katikA idara zote zenye maamuzi ya mpira na wao ndiyo wAmekuwa decisions maker ,huu ni ugonjwa wa kitambo wamejikita Mikoani asilimia 70 wajumbe wa vikao vya maamuzi Tff,iwe Uchaguzi,kesi ,rufaa nk wamejikita,kipindi hicho Yanga tunahakikisha tunashinda mechi zetu hatujali upande wa pili.Hata hivi Sasa Moto ni Ile Ile tushinde mechi zetu,haitatokea hata siku moja tushinde maamuzi ya mezani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We utakuwa sio mzima wewe alafu unajifanyaga unajua Mpira kumbe tahira tu we unataka kuchukua ubingwa wakati unapitisha bakuli wachezaji wanadai mishahara miezi 6 alafu unataka ushindane na Simba mkishindwa mnaisingizia TFF na mtabaki hivyo hivyo eti Malinzi aliwekwa na friends of Simba na kipindi hicho Manji alikuwa anafanya Nini waongopeee hao hao Kama unavyowaongopea matahira wenzako kwamba Simba imeingia makundi lkn ipo round ya pili

      Delete
  9. Yanga na azam wakitaka kiki lazima waihusishe simba. Hata kama unaamini utamfunga simba, una uhakika gani hadi uropoke hadharani?

    ReplyDelete
  10. Simba Kila siku tulikuwa tunasema Hawa jamaa Sasa hv wanaongoza ligi lkn itafika kipindi wataanza kusema TFF Simba ndo yanayotokea Sasa hv,wakati mechi ya Kwanza ya Simba na Yanga inaahirishwa bila kuwa na sababu zozote msingi,ingawa Simba tunajua TFT walikuwa wanawaepusha na kipigo kikali kwa kuwa timu yao ilikuwa Haina muunganiko na imetoka kusajili wanariadha wao uliwahi kusikia Simba wamelalamika mwenye akili ya kawaida kashajua kushabikia timu Fulani hv siitaji kwa jina lazima akili zako ziwe zimeshake kidogo

    ReplyDelete
  11. Na utahira wangu nikusaidie Manji hakuwahi kuwa sehemu ya Hiyo mipira ya Kiswahili ,alikuwa haamini uchawi,kuonga au msaada wa marefa yeye aliamini kwenye Timu shindani ndiyo maana hata ukiwa na kumbukumbu Hiyo Club Bingwa mala mbili tumetolewa na Al Ahly ya kwanza tuliwafunga hapa ya pili kwao wakatufunga 1 tukapiga penaalt tukatolewa ya pili hapa 1-1 ya pili kwao wakatutoa 2-1 aggregate 3-2,angalia unatolewa na Timu gani? Na hata Hiyo ligi baada ya kuona ratiba ya kuchosha Wachezaji ya makusudi huku Haji akitumika kulalamika(kumbuka wa Mchangani) akawa analipa ndege(usafiri) ,Nadhani lugha Kali hainikwazi na kwa maadili nitabaki taahira lkn sitabadili uelewa wangu nasisitiza ukitoka makundi unacheza hatua gani ?uliwahi ku drive fumula hata ndogo ya hesabu ukajua njia ?Kama hujui ni kosa la Wazazi wako.Kwa Ulaya Nchi Kama England,Spain,Germany ,Italy makundi unafuzu ktk Ligi yako bt only if ukishika nafasi ya kwanza na ya pili nyingine zinaanza raundi za awali na hata ukitoka makundi hatua inayofuata nadhani tizama ratiba za Uefa Kama siyo WK Hii(leo) ni WK ijayo na ni mtoano siyo robo Fainali,kwa Africa makundi yameanza Kama sikosei 1997 au 1998 hapo ni Kama Robo Fainali na ikionyeshwa na DStV,Yanga ikawa ya kwanza kufuzu kwa Timu za East Africa.ikaja hapo majuzi ikaanza Hii inayo kutoa povu, ya baada ya raundi ya kwanza unahamia shirikisho yote Wananchi tumeshiriki tukitolewa na Al Ahly tukicheza shirikisho .Hii stage unaweza kusema imechukua au imeua nafasi ya raundi ya Pili cse ukitoka hapo unaingia robo Fainali ,?Sasa ndugu muungwana Ulonga matusi hayasaidii,au ukiambiwa kila kitu mfano Tanzania haina Corona unasemaje wewe Interectual.

    ReplyDelete
  12. Tusaidiwe na kumbukumbu siyo mihemuko rekebisha nilipokosea matusi ni rahana kwako

    ReplyDelete
  13. Wewe unataka kuwaaminisha watu kuwa Yanga ni timu Haina dosari yenyewe inashindwa kwa haki ndio Mana tunakwambia waongopeee hao hao wendawazimu wenzako lkn mashabiki wa Simba wanaoijua Simba na historia yake utakuwa umenoa eti Manji alikuwa haamini kwenye uchawi sijui kuonga marefa teh teh teh nacheka sana,Kama mnafikili Mpira unachezwa kwenye mitandao ya kijamii umenoa ili kuichafua Basi mmenoa kajipangr tena

    ReplyDelete
  14. wadau ukweli haufichiki . yanga ilipokuwa inacheza kwenye hatua ya makundi ya kombe la caf. TFF haikuhairisha mechi zake za ligi.yanga walikuwa wanacheza mechi zao za kimataifa siku za jumatano na week end walikuwa wanacheza mechi zao za ligi. sasa hii tff ya karia ya ajabu sana kwanza sijaona katika ulimwengu wa soka mechi za ligi inahairishwa eti sababu mechi za kimataifa kwa club.ligi lazima iendeshwe bila ya upendeleo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Labda ulikuwa unaangalia ligi ya Somalia,lakini ligi ya bongo huwezi kutuongopea

      Delete
  15. We unazungumzia ku drive formula mi nimefanya PCM hizo formula za Integration,hyperbolic function nishafanya lkn haimaniishi kwamba nitakuwa najua ku elaborate Kila kitu, Sasa wewe kwa mawazo kwa sababu unajua kudrive formula za logarithm Basi ata Mambo ya soka utakuwa unajua,kinachotokea mnaonekana mnatafuta Sympathy chezeni mpira

    ReplyDelete
  16. Simba alimtoa Zamalek akiwa bingwa mtetezi 2003 na kutunga hatua ya robo fainali kwa mikwaju ya penalti pale pale Cairo baada ya Simba kushinda 1-0 Dar na kufungwa 1-0 Cairo Misri,we unalalamikia kufungwa na Al Ahly ambayo kipindi hicho Misri kulikuwa na machafuko na soka la nchi ya Misri lilikuwa limeshuka sana,kwa kifupi linapokuja suala la michuano ya kimataifa kwa ngazi ya Club Simba ndio timu yenye historia ya kufanya vizuri toka zamani mpaka sasa

    ReplyDelete
  17. Hapo bado panahitaji matumizi ya ulichosoma kwa uharisia ukiongozwa na ulichosoma Shule usikariri, ukija na Logarithm tu bila kuwa na uelewa ndiyo maana mnakuwa Imani Kali,Mujahdin,Uhamusho,Ufufuo na Uzima wa soka NK,Nielewe Simba ipo raundi ya pili but u have to fight at ur best level to be among the best;Una task ya kwenda Quarter Final please pambana.Siyo kutambia Baba yako.Kwahiyo soka la Misri linapanda inapokutana na Simba ,mbona bingwa wa African Champions League alikuwa Al Ahly ,tunazo record cse hata hao Mazembe mnaoshadadia tumecheza nao Shirikisho makundi .Kwahiyo kutoa Platnum Soccer la Zimbabwe limepanda,huku Wachezaji wao wakiwa hapa wakiganga njaa ?Tofauti have mwaka wa Lunyamila anastahafu na Yanga ya Manji,tuna Bahanuzi,huku kwenu taja ,hope unakumbuka Ile Kagame ,uje utaje Zamaleki enzi za Massawe na Matola na Emmanuel Gabriel inachanganya.

    ReplyDelete
  18. Hapa shida ni umri na kumbukumbu Mikia mnatuchanganya

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic