March 9, 2021

5 COMMENTS:

  1. Fukufuku kama hawa ndo huwa chanzo cha migogoro kwenye hizi timu mbili
    Anavyoongea tu anaonesha ametoka Njombe juzi na kuvamia jiji ndo maana anaropoka tu.

    ReplyDelete
  2. Mna uthibitisho au ni kuchanganyikiwa nq vipigo vya timu yenu

    ReplyDelete
  3. UTOPOLO ANA MACHO MANNE SI UNAONA MIWANI MIWILI HIYO? SASA KWANINI ASIIJUE YANGA ZAIDI

    ReplyDelete
  4. Mashabiki maandazi, ukiona mtu ana msupport huyu(Utopolo) ni wazi atakuwa upande wa pili asiejua mpira, mgogoro kwake ni faida, lkn Tukumbuke hakuna Yanga au Simba imara bila kuwa na upinzani imara.
    That is Simba imara hujengwa na Yanga imara na kinyume chake ni sahihi.
    Kwahiyo wanaofurahia mgogoro wa Yanga hawajui impact yake

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic