SHIRIKISHO la soka la kimataifa (FIFA), limefuta pingamizi la kutofanya kazi nchini Afrika kusini kwa aliyekuwa kocha wa zamani wa Yanga, Luc Eymael.
Eymael alifikwa na maamuzi hayo kutoka kwa Chama cha soka cha Afrika Kusini (SAFA), mwezi Julai mwaka jana.
Kutokana na kauli hiyo, Yanga walisitisha mkataba wa kocha
huyo na kutakiwa kuondoka nchini haraka, jambo ambalo alilitekeleza huku
mashauri mengine yakibaki kuwa chini ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF).
Vizur
ReplyDeletehuyu Kocha hakuwa na kosa ila alihukumiwa kwa kusema ukweli
ReplyDeletesio kocha kabisa bali tatizo ilo
ReplyDeleteTatizo la Bongo kila mtu ni kocha na kila mtu ni mchambuzi wa soka mdomo mwingi na ujuaji mwingi tu hamna kitu hapo waamuzi njaa kali tff walafi tu.
ReplyDeletepongezi FIFA...hana makosa huyo..na alisema ukweli kuhusu Yanga...kweli kabisa na hata sasa tunaona
ReplyDelete