March 3, 2021

 


KOCHA mkuu wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze ameonyeshwa kukerwa na uamuzi wa nyota wake wawili, Dickson Job na Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ kuitwa kwenye vikosi vya timu ya Taifa huku wakiwa bado wana majeraha na kuahidi kufanya kikao na viongozi wa Yanga ili kudhibiti hali hiyo.

Nyota hao hawajaichezea Yanga mchezo wowote tangu Januari mwaka huu, kutokana na majeraha ya misuli yaliyokuwa yakiwakabili.

Saido alijitonesha majeraha yake kwenye fainali ya kombe la Mapinduzi, huku Job yeye akiwa ameumia kwenye kambi ya Stars iliyokuwa ikijiandaa na michuano ya CHAN.

Akiwazungumzia nyota hao, Kaze amesema: “Ni jambo la kushangaza sana kuona kile ambacho kimetokea kwa wachezaji wangu, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ na Dickson Job.

“Mpira ni mchezo wa wazi na kila mtu aliona ya kwamba Saido hakucheza tangu Januari 13, baada ya kupata majeraha kwenye kombe la Mapinduzi, hivyo ni takribani miezi miwili imepita hajacheza.

“Walipaswa kutuuliza kuhusu maendeleo yake kabla ya kumuita lakini hawakufanya hivyo, hii pia ni kesi moja na Job ambaye alipata majeraha akiwa na kikosi cha Stars mwezi Januari mwaka huu, wakati wakijiandaa na CHAN.

“Ikatubidi sisi tumhudumie mpaka alipopona, akiwa ndiyo kwanza amefanya mazoezi mara mbili pekee, unashangaa naye anaitwa timu ya Taifa bila kutupa taarifa.

“Kuhusiana na hili ni lazima nizungumze na viongozi wangu ili kurekebisha hali hiyo, sisi tunatumia nguvu kubwa kuwalinda wachezaji wetu, lakini haiwi hivyo wanapokuwa hawapo nasi, hatuwezi kuendesha timu kama tupo miaka 20 iliyopita,”

 

 

 

19 COMMENTS:

  1. Hii ni ajabu kweli kweli. Wasipoitwa kwenye timu za Taifa wanalalamika ooh mbona wachezaji wetu hawakuitwa kujiunga na timu ya Taifa, hivi mna matatizo gani nyie Utopolo? Nyambafu sana Utopolo

    ReplyDelete
  2. Uyo chizi ajitambui ndo maana anaongea usenge

    ReplyDelete
    Replies
    1. Chizi wewe hujui anatibiwaje kwanza kuandika hujui uyo ndio nini

      Delete
    2. Chizi ni mamaako aliekuzaa ukiwa huna akili kuma we

      Delete
  3. Fainali ya mapinduzi saido alicheza akiwa mgonjwa ikasababisha majeraha zaidi

    ReplyDelete
  4. Aliyesema saido majeruhi nani.mlipeni hela zake za usajili

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nguruwe mkubwa wewe kamlipe MORISON KWANZA kuma weee au unafikiri yakwenu hatuyajui

      Delete
  5. Vitu vya kawaida sana Bocco aliitwa wakati yuko majeru, Nyoni aliitwa wakati yuko majerui Ame pia alikuwa majerui kocha wa Simba hakulalama, kiualisia Job anaenda kupata uzoefu na nafikili Mwalimu anaplan nae ya mda mrefu kutokana na umri wake sidhani kama atapata hiyo nafasi ya kucheza zaidi ya kufanyq training na wachezaji wenzake tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mara nyingine tuwe tunaweka ushabiki pembeni! Swala hapa ni kulinda afya za wachezaji. Hata kuwaita wachezaji wa Simba wakiwa majeruhi si sahihi kwa afya zao. Hilo lipo wqazi kabisa

      Delete
    2. KWA hiyo wewe unalazimisha usenge wenu tufanye na sisi kama wakwenu waliitwa hamukuuliza ni nyinyi sisi tuache tuulize, kwani wewe ukiwa jirani na shoga na wewe unakua shoga. Kanawe hukoo

      Delete
  6. Saido sio majeruhi anadai hela za usajili amegoma

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wishful thinking typical of persons with extremely low levels of IQ. Ismael Rage knows them very well! He can testify.

      Delete
    2. Hata Morrson anadai ndonmaana mkashindwa kuvunja mkataba wake alipowaambia mmoe keshi mkaamua yaishe. Pimbi wee

      Delete
  7. Saido sio majeruhi anadai hela za usajili amegoma

    ReplyDelete
  8. Saido sio majeruhi anadai hela za usajili amegoma

    ReplyDelete
  9. Replies
    1. MBONA NCHI YAO WAMEMWITA KAMA MAHERUHI? UOGA HUO. ANAONA BORA BABU AKOSE GAME ZOTE ILI TAREHE 8 MAY ASIKOSEKANE

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic