March 31, 2021


NCHI ambazo zimefunzu kushiriki Afcon ambayo itafanyika nchini Cameroon 2021 ambapo Tanzania imeishia hatua ya makundi kwa kukusanya pointi 7 ikiwa kundi J.

Kwa ukanda wa Afrika mashariki timu zimekwama kutusua ambapo Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi zimeishia hatua ya makundi.

Hizi hapa:- Senegal.

 Tunisia.

Algeria.

 Mali.

 Burkina Faso.

 Guinea.

 Comoros.

 Gambia.

 Gabon.

Misri.

Ghana.

 Equatorial Guinea.

 Zimbabwe.

Morocco.

Ivory Coast.

Nigeria.

 Sudan.

Malawi.

Mauritania.

 Ethiopia.

Guinea-Bissau.

Cape Verde.

Sierra Leone. 



1 COMMENTS:

  1. Inaonesha jinsi gani makoloni ya kifaransa yanavyotawala soka la waafrica naogopa kusema wakoloni hawa wafaransa wasije kutumia soka kupumbaza waafrica na kuendeleza ukoloni mambo leo.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic