August 30, 2021

NYOTA wa kikosi cha Zambia, Kelvin Kapumbu amesema kuwa anaweza kuja kucheza ndani ya Ligi Kuu Tanzania katika moja ya timu mbili kubwa kati ya Yanga ama Simba ikiwa Mungu atapenda.

 Nyota huyo jana Agosti 29 alizima furaha ya Yanga katika mchezo wa kilele cha Wiki ya Mwananchi baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 76 na kufanya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 1-2 Zanaco.

 

7 COMMENTS:

  1. Ysnga ingeliweza kujipima na timu iliyokuwa imara na yenye kiwanob zaidi kuliko ya Zanaco ambayo wangeipata kule Moroco walipoweka kambi kama walivofanya watani wa jadi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu jamaa si mzuri kaenda kuwapiga pumbu wananchi katika kadamnasi kunako hadhara si kitendo kizuri hata kidogo watu wa uhamiaji wanapaswa kujua nyendo zake kabla ya kurejea kwao kitwe☹️

      Delete
  2. Wewe unaamini kila Timu ya Morocco Ni bora na je Ni kweli hiyo Timu ilikuwa first eleven?Msuva katusanua ukweli hiyo Timu walicheza nayo siyo Ni reserve Team

    ReplyDelete
  3. Kapumbu kanyewe si kikubwa wala nini Ila kinauma:)

    ReplyDelete
  4. Njoo Msimbazi uendelee kumpiga Pumbu Manara na Utopolo yake

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic