BAADA ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 leo mbele ya Polisi Tanzania, uongozi wa Yanga rasmi umetangaza kuvunja benchi la ufundi lililokuwa likiongozwa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze .
Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga imeeleza namna hii:-
Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga imeeleza namna hii:-
Na bado
ReplyDeleteMpira wenu unachezwa na mkono wa timu fulani, ubingwa bye bye
ReplyDeleteAtaondoka na "Intamba Murugamba" wenzake au ataondoka na mabegi yake?
ReplyDeleteYanga tangazeni mazishi ..wiki 3 using wa wa simba .
ReplyDeleteNAONA NAO WAMEIGA KWA EL MEREIKH. KLOPP PALE LIVERPOOL BADO ANAHESHIMIKA NYIE KISA SARE 8 NA KUPOTEZA MECHI MOJA MNAFUKUZA KOCHA. JE SWALI KOCHA GANI ATAWEZA KUI MANAGE YANGA NDANI YA SIKU HIZI AMBAZO LIGI IMEPAMBA MOTO? MWAMBUSI?
ReplyDeleteThis is not your business
DeleteMikia walivyo mfukuza Uchebe waliiga kea nani?
DeleteUse your common sense don't memorize each and every non sense...
Mind your own business.
Kama jambo hujui ni Bora kukaa kimya!
Wacha povu wewe Whose business is it?
ReplyDeleteNina haki ya kujua kama mwanachama wa Yanga.
tukirudi nyuma hadi November 2019, Yanga immeishakuwa na makocha zaidi ya watanno. Zahera, Mkwasa, Eymael,Zlatico, Mwambusi, Kaze. Na katikati hapa timu pia ilifumuliwa wengi waliachwa na wakaletwa mfano Sibomana, Sydney...
ReplyDeletehivyo tatizo sio wachezaji au makocha...itakuwa ni uongozi utopolo.
Fumueni na uongozi timu itafika mbali..Hakuna cha ubingwa ligi kuu au FA cup..ila kimataifa wataenda kwa mgongo wa Simba. Tahadhari wadije kosa shukrani na kuanza wacheka Simba kutolewa na UD Songo...halafu wai wakajitoa wenyewe kwa kujifunga..ukidhurumu, ukikosa shukrani na fadhila Mungu anaona
Mechi zote mbili yanga wamebebwa goli alilofunga kisinda na coastal Union alimsukuma yule mchezaji akaenda kuscore foul ya wazi pia goli alilofunga fiston Jana ilikua clear offside kocha huyu aliishiwa mbinu na pia hujuma ndani ya management ya yanga kutokana Kuna self interest Kati ya gsm na management ya kina mshindo msolwa gsm anafanya kila jambo ambapo tunaona uongozi haufanyi chochote kauli anayo eng. Hersi said kwahiyo Kuna harufu ya hujuma ndani yake ukianza kuchunguza bao la kusawazisha dakika za jioni
ReplyDelete