April 26, 2021


NYOTA wa Manchester City,  Kun Aguero mwenye miaka 32 anatajwa kuingia kwenye rada za Barcelona na Inter Milan. 


Nyota huyo alikuwa miongoni mwa waliotwaa taji la nne la Carabao Cup jana kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tottenham Hotspurs.


Linakuwa ni taji la nne kwa City la Carabao Cup na wametwaa taji hilo mfululizo jambo ambalo ni mafanikio kwake.


Hatakuwa ma timu hiyo msimu utakapoishwa law kuwa mkataba wake umemeguka na hataongeza kandarasi nyingine.


Inaelezwa kuwa Inter Milan na Barcelona zinawania saini yake hata Liverpool nao wamekuwa wakitajwa kuhitaji saini yake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic