April 5, 2021

 


WAZAZI wa beki kisiki anayekipiga ndani ya kikosi cha Real Madrid wameamua kuvunja ukimya kuhusu hatma ya mwanaye.


Ramos amekuwa akitajwa kuwa anaweza kusepa ndani ya kikosi hicho cha Madrid kinachonolewa na Zinedine Zidane. 


Jose Maria Ramos, baba mzazi wa Ramos amesema kuwa nyota huyo atabaki kikosini hapo.


"Ama hakika atasalia ndani ya Real Madrid ni suala ambalo familia imeamua hilo liwe namna hiyo,".


Naye Paqui Garcia ambaye ni mama yake amesema kuwa mwanaye atabaki Real Madrid.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic