August 21, 2015

KIMWAGA (KATIKATI) AKIPONGEZWA NA ERASTO NYONI BAADA YA KUIFUNGA YANGA, MSIMU ULIOPITA.
Simba imemchukua kinda Joseph Kimwaga kwa mkataba wa mwaka mmoja.


Kimwaga anatokea Azam FC na amejiunga na Simba ambako ataichezea kwa msimu mmoja tu.

Uongozi wa Simba, umethibitisha kumpata Kimwaga mmoja wa vijana wanaochipukia kwa kasi katika soka nchini.


Kimwaga alikuwa anaibuka kwa kasi, lakini alikwama baada ya kuanza kusumbuliwa na maumivu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic