RUVU Shooting iliyo nafasi ya 8 na pointi 34 baada ya ucheza mechi 25 v Mwadui FC, iliyo nafasi ya 18 na pointi 16, Uwanja wa Mabatini.
Polisi Tanzania iliyo nafasi ya 7 na pointi 34 v Mbeya City, iliyo nafasi ya 17 nz pointi 21, Uwanja wa Ushirika, Moshi.
Kagera Sugar iliyo nafasi ya 14 na pointi 27 v Simba iliyo nafasi ya pili na pointi 52, Uwanja wa Kaitaba.
Game hazina muda siyo
ReplyDelete