April 10, 2021


Mchezo wa Mini Power Roulette

Wiki hii Meridianbet inakuletea mchezo bomba na wa kipekee uitwao Mini Power Roulette uliotengenezwa na Expanse Studios. Unasubiri nini? Jiunge na Meridianbet ili uweze kupata Odds kubwa, Bonasi, na Promosheni kedekede kwenye michezo mbalimbali.

 

Mchezo huu wa Roulette unaopatikana kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, na unaopendwa sana na watu wengi. Licha ya kuwa chaguo la wengi Roulette hii ya mtandoni ya Mini Power Roulette yenye mifumo maridhawa  na yenye kukutengenezea faida kubwa mpaka 96.15%, unakujia na gurudumu la roulette lenye namba 13 tu ikiambatana na sloti ya namba zenye nguvu na uwezo wa kukuzawadia kiwango kikubwa cha ushindi kwenye mchanganyiko huo. 

 

Namna ya Kucheza Mini Power Roulette

Ni rahisi sana kucheza mchezo huu kwenye Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

 

Mchezo huu wa Mini Power Roulette unakupa fursa ya kucheza bure kwa kuujaribu, kisha unapokuwa tayari unaweza kuweka pesa na kuibuka mshindi. Mchezo huu wenye gurudumu dogo kwa kuzingatia muundo wa Roulette za Ulaya, Mini Power Roullete ina jumla ya namba 13, yaani 0 hadi 12. Kama inayojulikana, sloti ya kijani ni 0, na zile zenye namba nyekundu ni 1,3,5,8,10 na 12 wakati nyeusi ni 2,4,6,9, na 11.

 

Kama michezo mingine ya roulette, unachotakiwa kufanya ni kubashiri mpira utaangukia wapi. Utapewa muda mchache wa kuchagua namba hizo na malipo yatabadilika kutokana na uchaguzi wako. Pindi utakapoweka ubashiri, 

 

Bofya kitufe chenye neno *spin ili kuanzisha mizunguko ya mipira kwenye gurudumu hilo. Ili upate ushindi wa nguvu unatakiwa kufananisha namba za kwenye gurudumu na namba za kuu (Power Numbers). Malip makubwa yatafanyika kwenye Ubashiri wa moja kwa moja tu.


Naam! kama ilivyo ada , pale unapojiunga na Meridianbet basi jua ushindi lazima. Sio hivyo tu. Kupitia mchezo huu wa Mini Power Roulette, una nafasi ya kurudishiwa pesa mara 20, 50 mpaka 100  ya dau kwenye Kasino ya Mtandoni ya Meridianbet. Jiunge sasa kupitia http://www.meridianbet.co.tz

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic