April 3, 2021

11 COMMENTS:

  1. Jonas Mkude anapoteza sana pasi lakini pia C. Chama jr. anachelewa sana kumwaga upupu. Lakini pamoja na hayo ushindi upo wazi

    ReplyDelete
  2. Tunayaweza haya yote kutoka kwa yule atutiae nguvu, Mola. Asante Mungu, asante Simba, Asante Tanzania

    ReplyDelete
  3. Mgalu nibora awe anaanza sub, anachelewesha ushindi, pamoja na hayo hongera sana kwà kuingia robo fainali simba oyeee!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama sio kukosa utulivu kwa Mugalu, wale jamaa wangeoga si chini ya goli 8

      Delete
  4. officially Yanga ni wa kimataifa mwakani...wakashukuru sasa

    ReplyDelete
  5. vipi utopolo....je na leo Simba wametengeneza majibu positive ya korona mangapi..6..7 Hebu Yanga:tuambieni leo wachezaji wangapi wa AS Vita hawajacheza sababu ya hujuma za Simba?

    ReplyDelete
  6. Kwa hiyo Saleh Jembe ndiyo hii imekuwa habari kikomo..Hamjui Simba imefuzu na Hata mechi ya mwisho wakifungwa bado wataongoza kundi..acheni roho mbaya..basi furahini timu yenu imepata nafasi ya kimataifa kupitia mgongo wa Simba

    ReplyDelete
  7. Simba inapiga mashuti Kama pele tunapaa anga za juu nakuwaacha wengine macho Kodo! 😲😲😲 Tunasepa kukuchukua kikombe Cha caf na tff vyote vyetu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic