April 19, 2021

4 COMMENTS:

  1. Endeleeni tu kutudanganya mara Manji mara mtoto wa Manji mara kocha mpya keshafika mara wakati wiwote atafika. Haya hayana faida isipokuwa madhara tu. Mbona watani hawana tabia hii?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani hilo gazeti linachapishwa na Yanga au wasaka tonge fulani ambao hujiamulia kuandika chochote wanachotaka ili mradi wauze gazeti.

      Delete
    2. magazeti hayauzi bila ya habari ya Yanga

      Delete
  2. Wapenda uzandiki wengi ni Utopolo. Na ni rahisi sana kuwadanganya. Mwalebela aliweka picha ya Chama wakafanya maandamano. Nugaz aliwaimbisha kwaya klabuni kwamba wameshinda kesi ya Morrison wakapagawa na kuvua mashati.Gazeti la Championi nalo limewajulia kuwaandikia uzushi,nao maskini hawajiulizi.Wapo desperate kila wanachoambiwa kwao ni ukweli. Hao ndio migongo wazi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic