April 9, 2021

 


KESHO Uwanja wa Mkapa, Yanga itakosa huduma ya wachezaji wake wanne kutokana na sababu mbalimbali. 


Beki Yassin Mustapha, kiungo Haruna Niyonzima na Mapinduzi Balama hawa wanasumbuliwa na majeruhi.


Kiungo Carlos Carinhos anatumikia adhabu ya kadi nyekundu alionyeshwa kwenye mchezo dhidi ya Ken Gold baada ya kuonekana akimpiga ngumi mchezaji wa Ken Gold.

Yanga itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu muhimu mbele ya KMC saa 1:00 usiku.

4 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic