NAHODHA wa Yanga, Lamine Moro amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC utakaochezwa Uwanja wa Mkapa. saa 1:00 usiku.
Juma Kaseja naye nahodha wa KMC amesema kuwa maandalizi yapo sawa na watapambana kupata matokeo.
0 COMMENTS:
Post a Comment