RAUNDI ya tano ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (16 bora) itapigwa mwishoni mwa mwezi huu kati ya Aprili 28 hadi Mei 02, kama ifuatavyo.
28/04/2021
Rhino Rangers vs Arusha FC.
29/04/2021
Biashara United vs Ruvu Shooting.
Azam FC vs Polisi Tanzania.
30/04/2021
Mwadui FC vs Coastal Union.
Tanzania Prisons vs Yanga SC.
01/05/2021
Dodoma Jiji vs KMC.
Simba SC vs Kagera Sugar.
02/05/2021
JKT Tanzania vs Namungo FC.
Awali mechi hizi zilipangwa kuchezwa kati ya 2-4 Aprili lakini ziliahirishwa kupisha kipindi cha maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Karume.
John Pombe Karume, mkiambiwa mnakurupukaga mtabisha?
ReplyDeleteHivi huyu meandishi amesomea hii kazi anayoifanya kweli?
DeleteKukosea kawaida mbona hata nyie mmekosea wakwanza badala ya kuandika mtabisha ameandika m tabisha ,wapili baadala yakuandika muandishi umeandika meandishi.
DeleteKukosea kawaida mbona hata nyie mmekosea wakwanza badala ya kuandika mtabisha ameandika m tabisha ,wapili baadala yakuandika muandishi umeandika meandishi.
DeleteKuna kukosea na kupotosha
DeleteMwandishi amepotosha. Mtu asiyejua kuwa maombolezo yalikuwa kwa ajili ya Marehemu Rais John Pombe Magufuli ataelewa moja kwa moja alikuwa ni John Pombe Karume. Upotoshaji!!!
Hii blog tunasoma mara kwa mara upotoshwaji wa habari na hawaombi radhi kwa kudhihirisha kiburi chao.
Delete