CHEKI rekodi za Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina ndani ya ligi kwa msimu wa 2020/21.
Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabiti, ikiwa nafasi ya pili na pointi zake 50 baada ya kucheza jumla ya mechi 26.
Mambo yalikuwa namna hii kwa upande wa matokeo:-
Azam FC 1-0 Polisi TZ
Azam FC 2-0 Coastal Union
Mbeya C 0-1 Azam FC
TZ Prisons 0-1 Azam FC
Azam FC 4-2 Kagera Sugar
Azam FC 3-0 Mwadui FC
Ihefu SC 0-2 Azam FC
Mtibwa FC 1-0 Azam FC
Azam FC 1-1 JKT TZ
Azam FC 3-0 Dodoma Jiji
KMC FC 1-0 Azam FC
Azam FC 0-1 Yanga SC
Biashara 1-1 Azam FCGwambina FC 0 - 0 Azam FC
Azam FC 2-2 Namungo FC
Azam FC 2-2 Ruvu Shooting
Polisi TZ 0-1 Azam FC
Simba SC 2 - 2 Azam FC
Coastal Union 2 - 1 Azam FC
Azam FC 2 - 1 Mbeya City
Azam FC 0 - 0 TZ Prisons
Kagera Sugar 1 - 2 Azam FC
Mwadui FC 0 - 0 Azam FC
Azam FC 3 - 0 Ihefu FC
Azam FC 2 - 0 Mtibwa FC
JKT TZ 0 - 1 Azam FC
Watupiaji
Dube - 10
Nado - 7
Lyanga- 7
Chirwa - 4
Niyonzima - 1
Dijodi - 1
Sure Boy - 1
Morris - 1
Mudathir - 1
Kader - 1
Amoah - 1
Braison -1
Pasi za mwisho
Dube - 6
Nado - 5
Tigere - 4
Mudathir - 4
Chirwa - 3
Djodi - 3
Lyanga - 2
Kangwa - 2
Sure boy - 1
Braison - 2
A.Niyonzima - 1
Zaydi - 1
Hamahama - 1
Makipa bila kufungwa
Mapigano - 7
Kigonya - 4
Maseke 3
Haule - 1
samahani umuhimu wa habari hii ni nini? ulikuwa umekosa cha kufanya...weka basi na matokeo ya Yanga na wafungaji? itakuwa rahisi hiyo kwani kuorodhesha mabao ya Simba ni kazi kweli...sio kila wazo unalofikiria ni habari?
ReplyDelete