UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetuma salamu za rabirambi kwa kipa wao Metacha Mnata ambaye amepata msiba wa mwanaye Brighton Boniface Metacha jana usiku.
TANZIA: METACHA MNATA AFIWA NA MTOTO WAKE
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetuma salamu za rabirambi kwa kipa wao Metacha Mnata ambaye amepata msiba wa mwanaye Brighton Boniface Metacha jana usiku.
Aisee pole sana Metacha
ReplyDeletePole sana Metacha kwa kuondokewa na mwanao mpendwa. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ampokee na kumuweka mahala pema peponi Aameen. Aidha, tunamuomba Mwenyezi Mungu akupe moyo wa uvumilivu ktk kipindi kigumu unachopitia
ReplyDelete